The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
asalam aleikhum ! asee ni hiden fact kwamba wengi tumezoea kuwa wivu ni mali ya mapenzi yamhusuyo mwanaume na mwanamke waliokatika mahusiano ya mapenzi lakini tafakari situation hizi,i will make you feel what u neva recognized
1) rafiki yako wa jinsia tofauti ambaye ni kampani yako kuu ,hadi watu wakikuona wanakuuliza umemuacha wapi na hamna mahusiano yoyote
anapo kuomba ukamsaidie kuchagua zawadi ya mpenzi wake mpya ? au amefall deep kiasi hawezi hata kutoka na ww wako bize na m2 wake . kwa kuzuga utajifanya its ok
2) mfano mko shule rafiki yako wa jinsia moja anaambiwa class ataje marafiki zake wawili ambaye ungeulizwa wewe mmoja ungemtaja yeye ,kisha yeye ana wataja wawili wewe ukiwa haumo. huwezi mmaindi kwani utaonekana zuzu ila duuh
3)mshikaji wako wa kiukweli anakuita mkutane mpige maji afu anakutambulisha rafiki yake mpya kazini ,baada ya utambulisho wanaanza story
za kikazi tuu wakiziongea very sensitive usizozijua mfano wewe muhasibu afu wao ni masurveya ,afu kila 5 minutes wanagonga cheers
,utajifanya bize na simu kimoyomoyo umemaind ila huwez xpress sababu ni unnatural na gay inachukuliwa
4) mko club na rafiki wa ukwel afu wana toke washkaji zake walisoma nae primary wana imba kawimbo ka utoto nusu saa we umetoa macho
ni ipi imewahi kukuta ? je does this feeling abnormal .