J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 6, 2025 #1 Mimi namtazama Tundu Antipas Lissu kama spirit Fulani ya Uamsho Ni vema wanaccm huko majimboni mkatafuta akina Tundu Lisu wa Mchongo wawasaidie kuwang'oa akina Jah people nk Navalonge swela πΌ Ahsanteni Sana ππ
Mimi namtazama Tundu Antipas Lissu kama spirit Fulani ya Uamsho Ni vema wanaccm huko majimboni mkatafuta akina Tundu Lisu wa Mchongo wawasaidie kuwang'oa akina Jah people nk Navalonge swela πΌ Ahsanteni Sana ππ
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jan 6, 2025 #2 Hivi umewahi kujiuliza kwanini nyuzi zako hazifiki hata page 2, pamoja na kuziandika nyuzi 50 plus kwa siku?
Hivi umewahi kujiuliza kwanini nyuzi zako hazifiki hata page 2, pamoja na kuziandika nyuzi 50 plus kwa siku?
Mtu fulani JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 675 Reaction score 1,011 Jan 6, 2025 #3 Erythrocyte said: Hivi umewahi kujiuliza kwanini nyuzi zako hazifiki hata page 2, pamoja na kuziandika nyuzi 50 plus kwa siku? Click to expand... Labda ni Debe tupu
Erythrocyte said: Hivi umewahi kujiuliza kwanini nyuzi zako hazifiki hata page 2, pamoja na kuziandika nyuzi 50 plus kwa siku? Click to expand... Labda ni Debe tupu
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,530 Reaction score 1,903 Jan 6, 2025 #4 Hoja yake ni msingi ila imekosa nyama nyama, unaweza kuona jimbo x mbunge abazaidi ya miaka 20, 15,10 na anagombea tena, vijana chipukizi wanakosa fuza kukua kwenye siasa,mf jimbo la Lukuvi nk, alafu utasikia vijana mjiali.
Hoja yake ni msingi ila imekosa nyama nyama, unaweza kuona jimbo x mbunge abazaidi ya miaka 20, 15,10 na anagombea tena, vijana chipukizi wanakosa fuza kukua kwenye siasa,mf jimbo la Lukuvi nk, alafu utasikia vijana mjiali.