Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ukiacha siasa na uzandiki wa soka hasa wa kuwapendelea Messi na Ronaldo kwenye kila kitu, ni mchezaji gani ambaye bado anacheza na unamkubali sana kwa uwezo wake? Pengine ana uwezo kuliko hata hao Messi na Ronaldo!
Mimi namkubali sana Andreas Iniesta, the midfielder maestro!
Mimi namkubali sana Andreas Iniesta, the midfielder maestro!