Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kama sifa zingefanya binadamu aishi milele, kama kupewa majina yenye sifa kama mtukufu, mpendwa, mbeba maono, Daktari bingwa, profesa, msafi, msikivu, mpendwa, mwenye elimu sana kuliko hata Maprofesa, mwanafalsafa, muumini, mpenda watanzania hata wadudu, mzalendo, mchangamfu, mpole, mwenye busara, kamanda, mwenye visheni na misheni nk nk, angeishi milele.
Je nani anafuatia kwa kusifiwa nchini ukiondoa matapeli wa kiroho?
Je nani anafuatia kwa kusifiwa nchini ukiondoa matapeli wa kiroho?