I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Wanyama huonyesha aina tofauti tofauti za uwezo wa kiakili na baadhi yao hutenda kulingana na silika yao. Katika ulimwengu wa wanyama, Pweza, Pomboo, na jamii kuu za nyani kwa ujumla huchukuliwa kuwa miongoni mwa jamii za wanyama welevu.
Watu wengi hupenda kujiuliza swali hili; kati ya jamii za nyani yupi ana akili zaidi kuliko mwingine?
Katika swali hili hebu tuchukulie tu kwanza hizi aina 3.
1) Chimpanzee
2) Gorilla
3) Orangutan
Ni yupi kati yao anauwezo wa kiwango cha juu zaidi cha akili kwa ujumla wake?
Kati yao wote tu; ni jamii zenye akili zaidi miongoni mwa aina za nyani duniani, na kwa hoja sawa za uwezo wao kama ilivyo kwa watoto wa binadamu.
Tafiti mbalimbali za hivi karibuni zinamuweka Orangutan kuwa mwenye akili zaidi kuliko hawa wengine (ukiachana na binadamu), huku akifuatiwa na Chimpanzee ambako wameachana kwa kiwango kidogo sana.