Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

Kwenye mahusiano wekeni falsafa,dini,utafiti pembeni!

Mahusiano yanaamuliwa na nature yaani asili na mazingira uliyonayo plus maumbile ya ndani ya wahusika kwenye mazingira hayo uliyopo!!

Ukifanikiwa kwenye hilo bas mahusiano Yako yatadumu!
 
Nilimuoa wa chuo mkuu japo nao walikuwa wawili nikachagua mmoja, huyu wa 4 yeye hatukuwahi kuwa wapenzi ila yeye ndio alinipenda lakini hakuniambia na kutokana na ukaribu wetu na ujiran aliamini nimemuelewa kumbe mm nipo na mishe zangu

Kiukweli namuonea huruma hadi leo maana hakuamini kuwa ningeoa mapema huenda ningerudi kuonana nae nikiwa single na cku tulipo onana aliniambia yote hayo ila sikuwa na namna tena

Baada ya hapo alipewa mimba na mshikaji bwege kabisa wa mtaani asie na dira yoyote, wanawake wanapitia magumu sana kwenye mahusiano aisee
 
Ulimuoa wa chuo kwasababu wa chuo alikuwa mzuri kuliko huyo wa mtaani πŸ€” Kazanazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…