Mrkaswahili
Member
- Dec 17, 2021
- 65
- 43
Habari za wakati huu waungwana natumai wote muwazima wa afya tele na kama kuna mwenye khitilafu za kiafya basi twamuombea kwa Mungu aweze kumponya amiin.
Nilipost siku za nyuma kutafuta internship ya uhasibu katika taasisi yeyote ndani au nje ya jiji la Mwanza kwanza sikubahatika kupata ila bado napambana kutafuta nafasi ya internship au hata kazi kwa ujumla uzoefu eangu nilishawahi kuwa Direct Sales Agent pia n kugusa masuala ya Customer service katika bank moja hapa jijini mwanza.
Hivyo bado napambana kama kuna yeyote humuananafasi katika taasisi au shirika naomba chance,natumai nikipata chance naamini hatojutia muajiri kunipatia nafasi katika taasisi yake naomba sana.
Pia nina uwezo wa kufundisha masomo ya BOOKKEEPING AND COMMERCE ngazi ya secondary.ELIMU YANGU NI DIPLOMA YA UHASIBU. Ahsante kwa atakae wiwa nipo tayari muda wote