stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,750
Mtu anapoanza kujitegemea, huanza na basic needs kwanza, yaani kitanda, vyombo vya kulia na kupikia(hapa inajumuisha jiko).... baada ya hapo ndo mtu huanza kununua vitu vingine anavyo penda yeye. Either Tv, Radio, Viti n.k. So baada ya kuanza kujitegemea ni kitu gani ulinunua baada ya vile vitu muhimu vya kwanza, yaani kitanda na vyombo vya kulia/kupikia?