Mtoto mzuri wa kike.Mtu anapoanza kujitegemea, huanza na basic needs kwanza, yaani kitanda, vyombo vya kulia na kupikia(hapa inajumuisha jiko).... baada ya hapo ndo mtu huanza kununua vitu vingine anavyo penda yeye. Either Tv, Radio, Viti n.k. So baada ya kuanza kujitegemea ni kitu gani ulinunua baada ya vile vitu muhimu vya kwanza, yaani kitanda na vyombo vya kulia/kupikia?
Nilinunua Rice cookerMtu anapoanza kujitegemea, huanza na basic needs kwanza, yaani kitanda, vyombo vya kulia na kupikia(hapa inajumuisha jiko).... baada ya hapo ndo mtu huanza kununua vitu vingine anavyo penda yeye. Either Tv, Radio, Viti n.k. So baada ya kuanza kujitegemea ni kitu gani ulinunua baada ya vile vitu muhimu vya kwanza, yaani kitanda na vyombo vya kulia/kupikia?
mbunxe, kila jioni ikiingia niliwahi Bar kusubiri Maid wadogowadogo waliotoka Kondoa, usiku walikuwa hawana pa kwenda ila kulala jikoni au kwenye hall, sasa kujibebea ni bure kazi ni asubuhi hela ya supu.
baada ya hapo ikafuata ndala na pichu zao natundika
KakaNakushauri uanze na Box la condoms, sababu maisha yamebadilika na dunia inakimbia kwa kasi kuliko hapo kale...[emoji30][emoji30][emoji30]
Naam chief....[emoji53] [emoji53]Kaka
Nikiona avatar tu najua ata comment inayotoka hapo lazima ifurahisheNakushauri uanze na Box la condoms, sababu maisha yamebadilika na dunia inakimbia kwa kasi kuliko hapo kale...[emoji30][emoji30][emoji30]
Kwani nakwama wapi...[emoji22] [emoji29]Nikiona avatar tu najua ata comment inayotoka hapo lazima ifurahishe