MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Justify as a GREAT THINKERChombo Cha kiharakati km vyama vya upinzani tu
Jisomee sheria ilyoanzia TLS usisubiri kila kitu utafuniwe.Kila tukio likitokea ambalo liko ndivyo sivyo, TLS inajitokeza kulaani. Latest ilikuwa ya Chadema huko Mbeya.
Wakati Mwambukusi akiomba kura alionekana akituaminisha kama TLS ni bonge ya chombo ambacho kinaweza kufanya chochote wakati wowote lakini badala yake nacho kimekuwa chombo cha kulaani kama viongozi wa dini.
Nilikuwa nataka kufahamu uwezo na mipaka ya TLS.
Wenu katika ujenzi wa taifa.
CHRAGG imeanzishwa kikatiba kabisa sema mwenyekiti na makamishna ni wateule wa Rais hivyo wanashindwa kufanya kazi zao independently.Kutoa recommendations tu hawa na wale CHRAGG. Commission for Human Rights and Good Governance ni moja ya vitu vya ovyo visivyo na power yoyote ile
Sasa kama hawana yote haya si ni wanaharakati tu kama wengine!!!nao wanaingia ktk kundi la kulalamika??Kwani TLS ina polisi, magereza na mahakama? wao kazi yao kulaani na kushitaki
Ulitaka wakae kimya?Sasa kama hawana yote haya si ni wanaharakati tu kama wengine!!!nao wanaingia ktk kundi la kulalamika??
Huyu paka ni kama wa kumfunga kengere amekosekana kabisa.
WAendelee na mambo mengineUlitaka wakae kimya?
Basi sawaSasa kama hawana yote haya si ni wanaharakati tu kama wengine!!!nao wanaingia ktk kundi la kulalamika??
Huyu paka ni kama wa kumfunga kengere amekosekana kabisa.