Leo katika pita pita zangu K/koo nikagongana na binti mmoja ambae nilikuwa nammega 3yrs ago nilimwacha baada ya kuona level tofauti lakini yeye alining'ang'ania sana twendelee. Leo hii uso kwa uso nae akanifanyia fujo na matusi juu jamani mtu ukiachwa au kuachika ni lazima umfanyie mwenzio vitimbi? Amenifedhuri kweli wapwazi

nashukuru umenielewa level ninayoizungumzia.....Fidel una warembo wangapi hapo mjini jamani?...inategemea ulimuachaje, labda ulimtapeli kimawazo na ahadi kemkem then unakuja kumwaga tu, ndio level hizo mstaarabu akimwagwa anajimwaga tu lyfe linaendelea....pole mwayego.
Hebu niPM contacts zake nikusaidie kutatua matatizo! Si yuko ki ElizaEliza? au ki MatronMatron? Haijalishi lakini, we nitumie tu!
Duh mpwa unapenda kuachwa kwa Sadara balaa....huyu sio portable huyo wide loaded huwezi ngoma hiyo ndo maana nilichapa mwendo.
Matron cha mtoto siyo? Tukutuku haipandiki?Hehehehe mambo ya Bonge nyanya hayo mpwa
hahaaaa lol!!!!!!! mmeniua kabisaaaa and am outa here!!!!!!!Hahaha! Nadhani bht atakuwa amepata picha halisi hapa! Haya bana, tuendelee!