Ukiambiwa chukua chako hapa utachukua nini??!!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
huwa najiuliza kwa sauti kubwa!
ikitokea magu akasema kila mtanzania achukue kitu anachotaka hapa tanzania we utawahi kuchukua nini kiwe chako na vizazi vyako vijavyo???
mi kiukweli nachukua mlima kilimanjaro

embu tiririkeni nyie mtauana mpate nini??
 
Nachukua gesi aisee!! nimeambiwa ipo nyingi mnooooooooo😵
 
Mimi nitabaki na nilivyonavyo, sihitaji kuchukua kingine kwa kuwa najua hiyo ndoto tu, na ukiamka utajikuta uko vilevile...
 
tuzipende na kuzitetea rasilimali zetu,mimi ntaondoka tu hii kitu
 
Bora niwahi majengo yote ya halmashauri nipate na vyumba vya kupangisha!
 
Labda Makinikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…