Ukiambiwa Hapa Ni Kigoma Wanamaanisha Hivi

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Watu wa Dar karibuni.

Ukipata Hii Kitu roho inafurahia sana.

Likizo Yangu Yote naitumia kula chakula cha asilia Nikirudi Huko Nido nianze kukimbizana na supu ya pweza, mahidni ya kuchoma yenye pilpili, juisi ya muwa, tende nk.

 
Wanasemaga ukila kichwa cha mgebuka huondoki kigoma
 
Usisahau kuputia kwa wazee wakusafishe na matunguli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…