Sokwe Mjanja
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 576
- 297
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?
ningemtongoza kwa kumwambia"unajua yale magari yooote yanayoanza na SU/DFP ni yangu!na yale magorofa yooooote yanayojengwa yamezungushia kama pazia ya blue ni yetu!wanawake wooote wanaovaa khanga dada zangu!wote wavaao jinsi/pedo walinikataa sasa sijui ww ulieva sketi unasemaje?
unampa verse kali kali... hadi kicheko kimtoke:tongue:Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?
ningemtongoza kwa kumwambia"unajua yale magari yooote yanayoanza na SU/DFP ni yangu!na yale magorofa yooooote yanayojengwa yamezungushia kama pazia ya blue ni yetu!wanawake wooote wanaovaa khanga dada zangu!wote wavaao jinsi/pedo walinikataa sasa sijui ww ulieva sketi unasemaje?
mi hata sijaelewa,huyo agemate ni mvulana au msichana?
Ningemwambia naomba kipochi manyoyaUpo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?
Ningemwambia naomba kipochi manyoya