Ukiambiwa hivi utaanzaje?

kwanza unamwambia tubaki na chupi...mengine yatafuata...hahahaha
 
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?

Ningeanza "kumtongoza" - Simple na probably kila kitu kingeanzia hapo na kuishia hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…