Ukiambiwa shukran unapaswa kujibu hivi

Ukiambiwa shukran unapaswa kujibu hivi

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
5,039
Reaction score
6,253
[emoji673] Nukta muhimu ya lugha: ukiambiwa *shukran* ni makosa kurudisha neno *afwan*(nimekusamehe)
kwani hayaendani; kwamba vipi unasamehe anayekushukuru!
Sahihi mtu anapokwambia *shukran* umjibu kwa maneno mawili haya: *hubban wakarama*(kwa mapenzi na karama)
hakuna katika Lugha ya kiarabu (safi) neno afwan baada ya shukran..
hili ni kosa lililoenea kwa watu wengi, na kutengenea kwa mambo ni kutengeneza ndimi
 
Kiarabu zaidi... Basi sawa....!!!
 
Kiarabu zaidi... Basi sawa....!!!
Sijamuelewa na nimemshangaa..

Wapi mtu akisema "shukran" akajibiwa hiyo "atwan(nimekusamehe)" sijawahi kusikia.

Yani eti; Shukran kwa salaam, alafu unajibu Nimekusamehe....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hebu ondoka hapa tz, peleka hicho kiswahili chako mbofumbofu huko huko ulikokitoa [emoji45][emoji45]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pengine ni mchicha mwiba
 
[emoji673] Nukta muhimu ya lugha: ukiambiwa *shukran* ni makosa kurudisha neno *afwan*(nimekusamehe)
kwani hayaendani; kwamba vipi unasamehe anayekushukuru!
Sahihi mtu anapokwambia *shukran* umjibu kwa maneno mawili haya: *hubban wakarama*(kwa mapenzi na karama)
hakuna katika Lugha ya kiarabu (safi) neno afwan baada ya shukran..
hili ni kosa lililoenea kwa watu wengi, na kutengenea kwa mambo ni kutengeneza ndimi
Jee nikisema Shukraan Jazeelan...?
au JazzakaAllahu kheyrn?
 
[emoji673] Nukta muhimu ya lugha: ukiambiwa *shukran* ni makosa kurudisha neno *afwan*(nimekusamehe)
kwani hayaendani; kwamba vipi unasamehe anayekushukuru!
Sahihi mtu anapokwambia *shukran* umjibu kwa maneno mawili haya: *hubban wakarama*(kwa mapenzi na karama)
hakuna katika Lugha ya kiarabu (safi) neno afwan baada ya shukran..
hili ni kosa lililoenea kwa watu wengi, na kutengenea kwa mambo ni kutengeneza ndimi
Hapa sijui umenena kwa lugha hata sikuelewi
 
[emoji673] Nukta muhimu ya lugha: ukiambiwa *shukran* ni makosa kurudisha neno *afwan*(nimekusamehe)
kwani hayaendani; kwamba vipi unasamehe anayekushukuru!
Sahihi mtu anapokwambia *shukran* umjibu kwa maneno mawili haya: *hubban wakarama*(kwa mapenzi na karama)
hakuna katika Lugha ya kiarabu (safi) neno afwan baada ya shukran..
hili ni kosa lililoenea kwa watu wengi, na kutengenea kwa mambo ni kutengeneza ndimi
Bila shaka mtu alikuambia hivi. Sioni kuna lazima. Kati ya Waarabu (maarifa yangu Syria, Lebanoni, Misri) nikisema SHUKRAN wengi wao hujibu "AFWAN". Wengine husema "AHLAN" (=karibu!). Hubban wakarama sijasikia, lkn bila shaka pale huyu alyekuambia iko. Ila tu usijaribu kuweka hapa sheria kuhusu lugha.
 
Kiarabu zaidi... Basi sawa....!!!
Tatizo Nyerere alitaka Tanzania Lugha ya kiswahili itumeke kama Lugha ya taifa, ili aweze kiutawala zanzibar vizuri.

Zanzibar Ndio ilikuwa kitovu cha Lugha hii, na history ya Lugha hii, Lugha ya kiswahili ina maneno mengi ya kiarabu, kihindi, English etc..

Mkubali tu kufunzwa kiswahili..
 
Mbona pia Kiswahili kina maneno mengi ya Kibantu, hakuna sehemu inayotakiwa kujibebea umiliki wa lugha hii.
 
Back
Top Bottom