Ukiambiwa twende dinner maana yake utoke sexy

Duh Hii Kitchen Party Isiyokuwa Na Vyombo. JF Mwisho Wa Matatizo
 
no free lunch
tutoke nje ya topic kidogo .kiukweli kila nikiona hii ID Yako mapigo ya moyo yanaenda haraka sana nakumbuka nipo kwenye pepa ya econometrics ..Yani nilikuwa full mass..lakini maswali yaliokuja sikuwahi kuyashuhudia ndani ya sayari hii..kuna kipindi naota nipo kwenye iyo pepa halaf nimebaki peke yangu...Shukrani kwake Dr cyril Chami & Dr Mpeta nikatoka bhana
 
Mkuu unanifurahisha na kunikumbusha kitambo hicho kwa kweli Wengi walikuwa hawalipendi hili somo Binafsi Econometrics ndio somo nalipenda kuliko masomo yote
 
Mkuu nimeperuzi uzi wako mwanzo mwisho nione Ukimpa Kiki yule dada mwenye hili bandiko kule Facebook, sijaona ukifanya hivyo.

[HASHTAG]#IreneMbowe[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KungwiLao[/HASHTAG]
 
Mkuu nimeperuzi uzi wako mwanzo mwisho nione Ukimpa Kiki yule dada mwenye hili bandiko kule Facebook, sijaona ukifanya hivyo.

[HASHTAG]#IreneMbowe[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KungwiLao[/HASHTAG]
Labda yeye ndiye Kungwi Irene Mbowe
 


Shida ni kitenge au Mshono wa hicho kitenge?
Maana pa kupewa mtaji wa vitenge badala ya Boutique sijaelewa.
 
Dinner ya mpare ni makande na chai wadada msijisumbue kupendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…