Ukiambiwa ujifananishe na mmea wowote, utajifananisha na mmea gani na kwasababu zipi?

LOVINTAH GYM

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
459
Reaction score
653
Ukituliza akili ukaangalia maua, miti, mazao basi utagundua ina tabia tofauti ambazo zinavutia sana.

Mfano:

Lotus, hukua kwenye mazingira magumu sana ambayo usingetegemea kama kuna maua yangeweza kukua katika hayo mazingira na kuwa mazuri mno.

Napenda kuyafananisha na wale watoto ambao wamekulia mazingira magumu sana, maisha yao yamekuwa ya tabu sana ambayo ni ngumu mtu kuja kufanikiwa na kuwa na tabia njema.

Ila pamoja na maisha yao magumu bado hujitahidi kukufanya uwe na furaha pale unapoyaangalia.

Hawa watu ni ngumu kuwaangusha, maana wana high level ya ku handle stress, anxiety, sio wa kupanic aisee very tough people.

Rose, ni ua ambalo lina miba ila ni zuri sana na lina harufu nzuri.

Hawa ni wale watu ambao ni wakali, wagumu kuwazoea ila wakikupa chance ya wewe kuwafahamu kwa ukaribu basi utakuja kujua wana mioyo ya kipekee sana. Hutumia miba kuweka kizuizi ili mtu asije akamuumiza.

Minazi, hii ni miti ambayo ipo cool yani, hata ikianguka bado hutumika kusaidia watu kwenye sehemu za bahari kupata sehemu ya kukaa, au kujishikiza wakat wa kuogelea.

Hawa ni wale watu ambao wapogo peace sana, hawana noma na mtu, na hata akiwa na shida basi pia hujitoa kukusaidia wewe kwanza.

Wanajali watu wengine kiukweli kabisa bila expectations zozote.

Malkia wa usiku (Jasmine), haya ni maua ambayo mchana huwa yametulia kimya kabisa, ila ifikapo usiku basihutoa harufu nzuri sana.

Hawa ni watu ambao ukiwa na shida yoyote, ukianza ku search kwenye contanct list yako basi ndio watu pekee unaoweza kuwatafuta na wakakusaidia kadri ya uwezo wao wote.

Ni wale amjirani ambao ukipata tatizo watakuwa wa kwanza kukusaida nk

Mara nyingi huwa kama malaika wa kukusaidia wakati unapopitia matatizo, cha ajabu mostly mda wa mchana huwa ngumu kuwapata, au kuwakumbuka. Na maanisha wakati wa furaha mara nyingi unaweza ukawasahau kirahisi.

Hawa ndio wale hutoa sadaka bila kutaka kutajwa majina yao, hukusaidia kuvuka kwenye shida ambazo hukutarajia ungeweza kuvuka kirahisi.
 
Kuna watu wangekuwa wabinafsi kama 'mi ashok' hawatoi matunda wala kivuli

Wengine wangekuwa wabishi kama matembele ya uwani kwny nyumba zetu za uswazi…liwake jua,inyeshe mvua hayanenepi wala hayakondi
 
Upupu, haya ni majani ukiyaona unaona yametulia na muonekano mzuri kabisa, sasa we nenda kayashike.

Hawa ni watu ambao ni wapole mno kwa muonekano wa nje , wapo cool, lakini ukiwachokoza ndio ile unaanza kuwazaa kichwani "hivi hii ndio ile dunia mama alinambia itanifunza ama?".

😂😂

Thanks mtoa mada nimejaribu.
 
Mim limao.... Yani mchachu... Ukijaa nakuchachua..... Ukizidisha nakutia ukakasi kweny meno

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
hahaha limao zuri kwa afya, linasaidia mtu asizeeke haraka, linakata mafuta mabaya mwilini, pia linatumika kukata shombo na kuongeza ladha kwenye nyama
 
Kuna watu wangekuwa wabinafsi kama 'mi ashok' hawatoi matunda wala kivuli

Wengine wangekuwa wabishi kama matembele ya uwani kwny nyumba zetu za uswazi…liwake jua,inyeshe mvua hayanenepi wala hayakondi
Hujakosea wapo, na mizizi yake mikali ukisema uitunze inakuvunjia nyumba
 
Upupu, haya ni majani ukiyaona unaona yametulia na muonekano mzuri kabisa, sasa we nenda kayashike.

Hawa ni watu ambao ni wapole mno kwa muonekano wa nje , wapo cool, lakini ukiwachokoza ndio ile unaanza kuwazaa kichwani "hivi hii ndio ile dunia mama alinambia itanifunza ama?".

😂😂

Thanks mtoa mada nimejaribu.
kosea umuoe ndio utaona umepata knife sio wife
 
Back
Top Bottom