Ukiambiwa umtengenezee mpenzi wako kitu kutokana na kazi unayoifanya utamtengenezea nini?

Ukiambiwa umtengenezee mpenzi wako kitu kutokana na kazi unayoifanya utamtengenezea nini?

Nitamtengezea mtoto mwingine. Mimi ni mwalimu. Nachapa mwanafunzi mimba. *****.
 
Dhahabu.... Nipo mgodini

PM yangu ipo wazi kwa yeyote (ke) aliyevutiwa na kazi yangu
 
Nipo mochwari
Nitampa kuna maiti 1 iliyotelekezwa mwaka wa 3 sasa
 
Nitamtengezea mtoto mwingine. Mimi ni mwalimu. Nachapa mwanafunzi mimba. *****.
Hahaha, kwanini usimtengenezee lesson plan, scheme of work au teaching aid. ikishindikana ata fimbo mtengenezee.
 
Chupi ya chuma yenye kufuri kabisa mi fundi mchomea vyuma.
 
Hivi benki kunatengenezwa hela?
Weka na picha yake kabisa.
 
Ningeteneza P & L Statement ili kumuonyesha jinsi matumizi yake yanavyoaffect financial performance yangu.
 
Back
Top Bottom