GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
MIAKA 30+ inakuhusu mzee babaNitamtengezea mtoto mwingine. Mimi ni mwalimu. Nachapa mwanafunzi mimba. *****.
duuu!Nitamtemgezea avatar ya jf..
Huna access ya kumtengenezeaMimi nafanya kazi bank
nitamtengenezea HELA wewe je?
Hivi wapo waliowahi kufungwa kweli??😎MIAKA 30+ inakuhusu mzee baba
Hahaha, kwanini usimtengenezee lesson plan, scheme of work au teaching aid. ikishindikana ata fimbo mtengenezee.Nitamtengezea mtoto mwingine. Mimi ni mwalimu. Nachapa mwanafunzi mimba. *****.
Ningeteneza P & L Statement ili kumuonyesha jinsi matumizi yake yanavyoaffect financial performance yangu.