Oh hahahMtoto wako wa kambo anaitwa step brother?[emoji15][emoji15][emoji15]
ukimweka house boy huyo jamaa atakulia kimasihara mke/watoto.Kna watu km Rikboy lazma category ya houseboy ihusike hahah
Sikuiona hii comment yako. Nimecheka dah! Yaani mimi nina matatizo gani niwe wa kubadilishiwa hospitalini? Dah [emoji16][emoji16][emoji16]Mume wangu Eli79
Watoto wetu
Heaven Sent
ZoΓ«
Da vinci(dogo sijui anatumia jina gani now[emoji134]
Mtoto wa kambo Hazard CFC
Kaka Kataskopos na SHIMBA YA BUYENZE (huyu nahisi mama alibadilishiwa hospitali)
Dada Makiseo
Sasa kuna wale ma aunty zangu(panya)
Shunie
Sakayo
Family friends
amu
Hannah
Saint Anne
sumbai
Mnazareth
Yaani mambo meusi unayonifanyia ni dhahiri kabisaaa kuna dalili mama alibadilishiwa mtoto.Sikuiona hii comment yako. Nimecheka dah! Yaani mimi nina matatizo gani niwe wa kubadilishiwa hospitalini? Dah [emoji16][emoji16][emoji16]
zipo, nawe unda yako.Familia zenu zimeishia wapi