miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
DomainHutoangalia tena kitu gani?
Mweeeeh!! Umefufukia wapi[emoji134]Mkwe
Mweeeeh!! Umefufukia wapi[emoji134]
Mimi tena nimekuwekea, unamtaka wa nini?Mbona unaniwekea maneno we mwanamke?mumeo yuko wapi?
Wkend hii tufanye jambooIla nimekumiss basi tu.
Haya bwana.Kaniachia simu leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Aje akuchukue.Mimi tena nimekuwekea, unamtaka wa nini?
Hahahaha, humu huwa raha sana ,panafurahisha muda woteDah JF haijawahi acha nifurahisha
Naam, mimi ndiyo Moral Compass wako wewe!
Baba na mama , umezingua Kila Siku utakuwa unaamulia ugomviBaba: Mshana
Mama: FaizaFox
Kaka: Kiranga
Dada: Mama Debora
Tutahitaji na msuluhishi wa kudumu wa familia, so
Msuluhishi: The boss
[emoji1]
Daah [emoji23][emoji23]Hapo MLEVi Mmoja ndiye yule mjomba. Mlevi mlevi[emoji3][emoji3] yupo yupo tu, hana mke wala familia. Anaishi kwa kudanda danda.
Nimecheka kwanza.. Hii Familia hii!!!![emoji177][emoji177][emoji177]Mume wangu Eli79
Watoto wetu
Heaven Sent
Zoë
Da vinci(dogo sijui anatumia jina gani now[emoji134]
Mtoto wa kambo Hazard CFC
Kaka Kataskopos na SHIMBA YA BUYENZE
Dada Makiseo
Sasa kuna wale ma aunty zangu(panya)
Shunie
Sakayo
Family frends
amu
Hannah
Saint Anne
sumbai
Mnazareth
Kha kwa tabia hizi usiniweke hata kwa hao family friends wako😀 wake 7 bado huridhiki tuuMimi binaa adamu nimeumbiwa tamaa mamaa,nisione sketi ikikatisha[emoji3][emoji3][emoji3]
Nikimaliza siku bila kuingia ninakuwa sina rahaDah JF haijawahi acha nifurahisha
Sasa we na SHIMBA YA BUYENZE lazima mtakuwa mmefuatana, full kukwaruzana.Nimecheka kwanza.. Hii Familia hii!!!![emoji177][emoji177][emoji177]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590]Naam, mimi ndiyo Moral Compass wako wewe!
Wewe ndiye my best beloved dada, you have a special place in my heart!
Mume wangu Eli79
Watoto wetu
Heaven Sent
Zoë
Da vinci(dogo sijui anatumia jina gani now[emoji134]
Mtoto wa kambo Hazard CFC
Kaka Kataskopos na SHIMBA YA BUYENZE (huyu nahisi mama alibadilishiwa hospitali)
Dada Makiseo
Sasa kuna wale ma aunty zangu(panya)
Shunie
Sakayo
Family friends
amu
Hannah
Saint Anne
sumbai
Mnazareth
Kuna mtoto pasua kichwa mmoja hapo!
Vinci sina shida nae, ila nyie wengine sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Daah bonge moja la family. Ila hapo kwa watoto si ungekuwa unaongea hadi unasinzia?