Ukiandika CV hivi, ajira hukosi

Yohana Daniel

Member
Joined
Mar 18, 2018
Posts
63
Reaction score
33
Habari za uzima wana Jamii wenzangu,

Naomba kufahamu namna ya uwaandishi wa Cv (Curriculum Vitae) hasa kuhusisha projects mbali mbali nilizofanya na company tofauti tofauti je, ni sahihi kuandika project zote nilizofanya katika CV yangu?

Na hofu ya kutengeneza kitabu ambacho kinaweza kikiawa ni mzigo kwa waajiri kusoma kitabu.

Naombeni ushauri wenu
 
We dogo jifunze kuandika kichwa cha habari kinachoendana na content! Hapa sio Facebook kuwa straight usaidiwe
 



Clickbait ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ