Ukiangalia channel ya Travelxp unaweza kutamani kwenda Kila mahali duniani

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Anyway ni kusema wenzetu wanajua sana ku brand utalii wao na vivutio hasa hotel zinaonesha namna gani utapata malazi mazuri chakula kizuri na kampani.

Hapa Jf ukitaja utalii utaona vijana wanaulizia masuala ya riki boy ilihali Kuna mengi sana ya kufurahia.

Nashauri serikali iangalie namna ya ku brand utalii kupitia channel kubwa kama hizi
 
Ukiwa na DStv ndani huihitaji hata smartphone mkononi
Na iwe imelipiwa vizuri sikupingi dstv ni habari nyingine kabisa
NB mi Nina Azam dstv iko kwa mzazi huwa nikimtembelea naona wanavyo enjoy
Azam mipira ukiisha dah ni sawa na continental
Hapa Leo tunangoja euro ila mnaweza kupelekwa uwanjani ikiwa imebaki dk 1 Mpira uanze mda wote tunaangalia msitu wa Jozani historia ya mtume ijue korani n.k (ZBC 2)
 
Anyway ni kusema wenzetu wanajua sana ku brand utalii wao na vivutio hasa hotel zinaonesha namna gani utapata malazi mazuri chakula kizuri na kampani.

Hapa Jf ukitaja utalii utaona vijana wanaulizia masuala ya riki boy ilihali Kuna mengi sana ya kufurahia.

Nashauri serikali iangalie namna ya ku brand utalii kupitia channel kubwa kama hizi
channel yangu sana hiyo pia channel no210 FOODIES...hatari sana,kuna cannel nyingi za kuangalia na kuburudika ila waswahili wao na sinema zetu tu
 
Na iwe imelipiwa vizuri sikupingi dstv ni habari nyingine kabisa
NB mi Nina Azam dstv iko kwa mzazi huwa nikimtembelea naona wanavyo enjoy
Azam mipira ukiisha dah ni sawa na continental
Hapa Leo tunangoja euro ila mnaweza kupelekwa uwanjani ikiwa imebaki dk 1 Mpira uanze mda wote tunaangalia msitu wa Jozani historia ya mtume ijue korani n.k (ZBC 2)
Hiyo sentensi ya mwisho daah.
 
Back
Top Bottom