Kuanzia kifurushi cha sh ngapi nitaenjoy Dstv?Ukiwa na DStv ndani huihitaji hata smartphone mkononi
Na iwe imelipiwa vizuri sikupingi dstv ni habari nyingine kabisaUkiwa na DStv ndani huihitaji hata smartphone mkononi
umetumia DSTV kusoma hii post?Ukiwa na DStv ndani huihitaji hata smartphone mkononi
Shangwe sh 37,000 ukianzia hapa sio mbaya sana.Kuanzia kifurushi cha sh ngapi nitaenjoy Dstv?
Chanel namba ngapiShangwe sh 37,000 ukianzia hapa sio mbaya sana.
Compact sh 64,000 Kuanzia hapa ndio utaanza kuinjoi.
Kwaajili ya nini?Chanel namba ngapi
channel yangu sana hiyo pia channel no210 FOODIES...hatari sana,kuna cannel nyingi za kuangalia na kuburudika ila waswahili wao na sinema zetu tuAnyway ni kusema wenzetu wanajua sana ku brand utalii wao na vivutio hasa hotel zinaonesha namna gani utapata malazi mazuri chakula kizuri na kampani.
Hapa Jf ukitaja utalii utaona vijana wanaulizia masuala ya riki boy ilihali Kuna mengi sana ya kufurahia.
Nashauri serikali iangalie namna ya ku brand utalii kupitia channel kubwa kama hizi
Hiyo sentensi ya mwisho daah.Na iwe imelipiwa vizuri sikupingi dstv ni habari nyingine kabisa
NB mi Nina Azam dstv iko kwa mzazi huwa nikimtembelea naona wanavyo enjoy
Azam mipira ukiisha dah ni sawa na continental
Hapa Leo tunangoja euro ila mnaweza kupelekwa uwanjani ikiwa imebaki dk 1 Mpira uanze mda wote tunaangalia msitu wa Jozani historia ya mtume ijue korani n.k (ZBC 2)