Leo ni kuisema ccm tu, huku katibu mkuu wa ccm yuko kimya, huku ccm wamekosa akili.Embu fikiria hivi vitu viwili akili na elimu wamekosa.
Wameishia kuwa watu wa ajaabau tokea kuumbwa mwanadamu yani hata wale wanaofanya kama CCM mfano china nchi yao imefika mbali.
Sasa hawa uwezi kutofautisha makalio na njia ya kinyeo utanuzi wa vipenyo kuanzia mpaka wa ikweta mpaka kuingia black hole(shimo la giza).
CCM wamejisajili Facebook na wanalipa mamilioni ya pesa kutangaza matangazo yao.Unaweza kusema pale kuna akili na elimu kwenye kujitetea.Leo ni kuisema ccm tu, huku katibu mkuu wa ccm yuko kimya, huku ccm wamekosa akili.
Anyway ngoja tuzidi kukusanya viroba vya tone tone huku mwanza.
Uwezi kulazimisha VHS kuwa MP4Unakosea mkuu iko hivi,
Tukiongelea uimara wa Chama kama taasisi hakuna chama bora na imara kama CCM na ukitoka kuamini hilo ni kuwa CCM haijawahi na haitawahi kunasibishwa na Udini, ukanda wala ukabila.
Kinachoipoteza CCM ni suala la uchawa ambapo machawa wamekuwa wanajipa umuhimu kulingo viongozi wa Chama.
CCM ndicho chama chenye wasomi wengi makada kuliko chama chochote ndani ya Tanzania.
"Nitajielimisha na kutumia elimu na ujuzi wangu kwa manufaa ya Wote"