johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumbe Kiongozi anapopokea Madaraka na kukuta nchi ilikuwa inaliwa na mafisadi kila kona ni lazima kiongozi huyo aoneshe mbinu binafsi za kunusuru Taifa.
Magufuli alikuwa haingilii Mahakama kabisa lakini Ruto amesema atapeleka Polisi Haiti licha ya kuwepo Zuio la mahakama ya Kenya linaloagiza Polisi wasipelekwe.
Katiba ni kitabu tu!
Magufuli alikuwa haingilii Mahakama kabisa lakini Ruto amesema atapeleka Polisi Haiti licha ya kuwepo Zuio la mahakama ya Kenya linaloagiza Polisi wasipelekwe.
Katiba ni kitabu tu!