Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Jiwe kaanza kubwatuka tena..Ngoja niongeze popcorn hii movie tamu sana..[emoji23][emoji23]
 
Unataka kumlisha mwenyewe maneno,Rais kasema mwenyewe ni kichaa,wewe ndo umekuja na propaganda kwasababu watu wameshaanza kuongelea kuhusu ukichaa wa Rais wako.
Itawagharimu sana hii kuifuta, sio leo, tunae kichaa
 
Shika jembe ukalime.Amesema yeye ni kichaa.Period.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo Mpina anayesifiwa ukichaa jana kavaa combat za Jeshi na kachanganya na suruali ya kitambaa
hapo kweli nikamkumbuka na yule wa kisarawe aliyejibu saluti kwa kukaa juu ya pick-up
JKT ni muhimu kwa wote hawa
 
Wewe sasa unaleta upuuzi gani? usitutoe kwenye reli sisi kama Taifa tunajadili kuongozwa na rais kichaa.
 
Wabongo bhana kuipendekeza kwingi, kusifiasiafia kwingiii mpaka inakera, we don't need context based on his actions i had already concluded he is an insane before yesterday
 
Leo tena akiwa Musoma huko kasema yeye ni "MSHENZI" zaidi ya watakao leta ushenzi kwenye miradi ya maendeleo!
 
Kweli vita ya kiuchumi ni ngumu, ndugu zangu, naomba mniombee.
 
Shallow analysis, I am sorry, context unaijaji vipi? matendo anayofanya yanashabihiana na kichaa, ndiyo maana watu are banking on this statement! Anayoyafanya , mtu mwenye akili timamu hawezi kuyafanya, sawa na kichaa! Nyerere angelisema neno hilo hakuna ambaye angelilifuatilia! Maana hakuwa na matendo ya kichaa!
 
Nawaambien kuwa makini sana hasa kwa uongozu huu ambao subordinate wanataka kuonekana wanafanya kazi kwa bidii mtaona maajabu ya neno KICHAA, rais hakumaanisha yeye ni KICHAA Ile alitumia tu neno kuonesha kwamba ukiwa serious watu wana
 
Waache tu mkuu!
Sidhani kama hii wiki itaisha tutashuhudia mtu akisimamishwa Mahakamani kwa kutumia hili neno kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Unataka kumlisha mwenyewe maneno,Rais kasema mwenyewe ni kichaa,wewe ndo umekuja na propaganda kwasababu watu wameshaanza kuongelea kuhusu ukichaa wa Rais wako.
Salute
 
Maamuzi magumu kwa manufaa ya taifa wakti tunalipa mabilioni ya kodi zetu kwa maamuzi yake ya ukichaa? Acha ulevi wa kusifia na kungojea teuzi
 
Kichaa ni kichaa tu hamna maana nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…