Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Kuna siku atajiita mseng.erema. Msaidieni jamani. Au atatoa tusi kubwa kuliko hilo. Ila hatutashangaa kwani keshasema yeye ni kichaa na mshenzi! Hatumlaumu yeye, tumlaumu Mkapa, Kikwete, ccm na inteligensia yote ya nchi kwa kukosa umakini kwa kiasi kikubwa hivi! Ni aibu tupu!
 
Sasa all in all, swali ni moja nani kwenye UKAWA kama J PM?

Yule mzee wa monduli mbona mmemuacha anahaishwa na kalanga!
 
Vp kama mbowe angesema yeye ni kichaa bado unge comment kwa staili hiyo?Hebu acheni ushabiki wa kishamba.
 
Jiwe alimaanisha yeye ni kichaa kwamba anaweza fanya maamuzi yoyote pasi kuangalia madhara yake au kufata taratibu, hili ni tatizo kubwa sana
 
OF COURSE MAGU HANA UKICHAA WOWOTE, ILA UKWELI NI KWAMBA HAFIKISHIWI TAARIFA....KAMA AMEWEZA KUNUNUA WABUNGE NA MADIWANI WAMONDULI BASI PIA ABADILISHE TIMU YAKE YA WASHAURI. usimguse Lowasa...utakuwa "loh..hasa"!!!!
 
Tanzania yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…