Wakati wa wizi wa kura, wako watu huteuliwa kupewa kazi ya kupiga kura kabla ya wakati. Hao huwekwa katika chumba maalum ambapo hufanya kazi ya kupiga kura na kujaza katika masanduku yaliyowekwa tayari kwa ajili hiyo ambayo hupelekwa vituoni usiku kwa ajili ya kubadilisha yale ambayo yametumiwa na wapiga kura halali kwa kutumia mbinu chafu watakapopata upenyo.
Sasa ikitokea wewe ukawa mmojawapo kupewa hiyo kazi, Utatick kwa JK?