Ukicheka na Nyani utavuna mabua

Ukicheka na Nyani utavuna mabua

majege

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Posts
237
Reaction score
308
Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema.

Ukiona kiongozi anashindwa kujua agenda ya watanzania ni nini kwa sasa basi ujue huyo ni kiongozi wa genge la watu tu ndani ya serikali kwa maslahi ya hilo genge.

Na kwa hakika yanayo tokea sasa hivi ni matokeo ya ubakaji wa Uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana ambapo kimsingi wanalazimisha kutawala watu ambao hawakuwachagua na katika hili kila mtanzania anajua.

Inavyoonyesha sasa hivi watanzania wanaishi kama mateka wa kundi hili dogo kwa kutumia nguvu na propaganda nyepesi dhidi ya wananchi bila kujua kuwa Tanzania ya kizazi hiki siyo ile ya miaka wa sitini na sabini.
 
Hili nyambizi la Urusi lililopata hitilafu na kuibuka ili lisizame .. Nalilinganisha na CCM! Kwa kawaida nyambizi linatembea chini ya maji na huwezi kuliona bali kwa mitambo maalum

Likiwa juu ya uso wa bahari hivi tambua limepata shida kubwa.. Lione lilivyojaa haya ....NA HII NDIO CCM

Na hapo haliwezi tena kusonga mbele mpaka livutwe na manowari...!

JamiiForums-1322917182.jpg
 
Wachaguliwa wote hawako qualified kwa kazi kwani hawakupita kihalali na hiyo inareflect moja kwamoja kwenye utendaji wao.
Hivyo na hao wanao wateua hawako qualified,, kwani unqualified persons ndio wanofanya hizo teuzi.

Tungeachwa tuchague tungechagua watu waliofit kwa hizi kazi, nao wangeteua watu waliofit kufanya kazi.

Kwasasa mwendo wetu ni MZOBEMZOBE.
Jiandae kuzama na jahazi au uruke uliache jahazi lizame na wengine.
 
Hili nyambizi la Urusi lililopata hitilafu na kuibuka ili lisizame .. Nalilinganisha na ccm! Kwa kawaida nyambizi linatembea chini ya maji na huwezi kuliona bali kwa mitambo maalum
Likiwa juu ya uso wa bahari hivi tambua limepata shida kubwa.. Lione lilivyojaa haya ....NA HII NDIO CCM
Na hapo haliwezi tena kusonga mbele mpaka livutwe na manowari...!View attachment 1882125

Nyambizi isipopiga mbizi,
Nyang'au atalia ka nyau,
Nyahela naye agawe hela.

Nyakati zakuja kwa wakati,
Nyebunduki watupa bunduki,
Nyerere alisema kwa shere,

Nyaisanga pamoja kiranga,
Nyamageso pamoja nyangweso,
Nyote yowe pigeni kwa wote,

Nyamagana hakuna pigana,
Nyegezi nako acha mapenzi,
Nyambizi ashindwe piga mbizi,

Nyamafu alo nyambizi mfu,
Nyambizi kwa kupora vya wizi,
Nyarugusu si nyambizi busu.

"The time for liberation is dawning"
 
Nyambizi isipopiga mbizi,
Nyang'au atalia ka nyau,
Nyahela naye agawe hela.

Nyakati zakuja kwa wakati,
Nyebunduki watupa bunduki,
Nyerere alisema kwa shere,

Nyaisanga pamoja kiranga,
Nyamageso pamoja nyangweso,
Nyote yowe pigeni kwa wote,

Nyamagana hakuna pigana,
Nyegezi nako acha mapenzi,
Nyambizi ashindwe piga mbizi,

Nyamafu alo nyambizi mfu,
Nyambizi kwa kupora vya wizi,
Nyarugusu si nyambizi busu.

"The time for liberation is dawning"
Vina na mistari kwenye ngeli za kiarifa[emoji1533][emoji1752][emoji1545]
 
Mama hawezi ashachemka,gari bovu haliwezi enda eti kisa wewe ni dereva mpya,wapiga debe wa stand tulionya nini kifanyike bus liende tukapuuzwa.
Wapiga debe wanaijua stand na mabus kuliko hata dereva. kiongozi
Ukitaka kufanikiwa kwenye ofisi kuwa karibu na comoni kada, watumishi wa kada ya chini kabisa.
 
Wachaguliwa wote hawako qualified kwa kazi kwani hawakupita kihalali na hiyo inareflect moja kwamoja kwenye utendaji wao.
Hivyo na hao wanao wateua hawako qualified,, kwani unqualified persons ndio wanofanya hizo teuzi.

Tungeachwa tuchague tungechagua watu waliofit kwa hizi kazi, nao wangeteua watu waliofit kufanya kazi.

Kwasasa mwendo wetu ni MZOBEMZOBE.
Jiandae kuzama na jahazi au uruke uliache jahazi lizame na wengine.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Thus tunasema raisi akifa turudi kwenye uchaguzi tumpate mtu qualified chaguo la wananchi na sio hii ya kupeana.Siku zote Makamu wa raisi hawezi kuwa Smart maana rais hawezi chagua Makamu Smart kumzidi Yeye Ili kuibalance ndoa.
 
Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema.

Ukiona kiongozi anashindwa kujua agenda ya watanzania ni nini kwa sasa basi ujue huyo ni kiongozi wa genge la watu tu ndani ya serikali kwa maslahi ya hilo genge.

Na kwa hakika yanayo tokea sasa hivi ni matokeo ya ubakaji wa Uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana ambapo kimsingi wanalazimisha kutawala watu ambao hawakuwachagua na katika hili kila mtanzania anajua.

Inavyoonyesha sasa hivi watanzania wanaishi kama mateka wa kundi hili dogo kwa kutumia nguvu na propaganda nyepesi dhidi ya wananchi bila kujua kuwa Tanzania ya kizazi hiki siyo ile ya miaka wa sitini na sabini.
Tumeruhusu washenzi watutawale.
 
Back
Top Bottom