Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema.
Ukiona kiongozi anashindwa kujua agenda ya watanzania ni nini kwa sasa basi ujue huyo ni kiongozi wa genge la watu tu ndani ya serikali kwa maslahi ya hilo genge.
Na kwa hakika yanayo tokea sasa hivi ni matokeo ya ubakaji wa Uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana ambapo kimsingi wanalazimisha kutawala watu ambao hawakuwachagua na katika hili kila mtanzania anajua.
Inavyoonyesha sasa hivi watanzania wanaishi kama mateka wa kundi hili dogo kwa kutumia nguvu na propaganda nyepesi dhidi ya wananchi bila kujua kuwa Tanzania ya kizazi hiki siyo ile ya miaka wa sitini na sabini.