MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
Ndugu zangu nawajulia Hali Kwa jina la mwenyezimungu mwingi wa Rehema na mwenyewingi wa kusamehe.
Nilitembelea nchi moja ya east African ambako kuna kiongozi mkubwa wa Taifa Hilo alifariki, hivyo kulazimika makamu wake kuchukua kijiti cha uongozi.
Yule makamu wakati anaingia madarakani alisema kwamba hapendi pesa za dhulma na Kodi kandamizi, ikiwa ni dongo Kwa marehemu kwamba alikuwa mbabe.
Nafikili alikuwa anawaza kuwa kuendesha nchi ni kitu kirahisi, watu wakamuambia kwamba hutakiwi kuwa na huruma iliyopitiliza, yeye akajibu hapana mimi nataka kila mtu ale kutokana na ulefu wa kamba yake.
Kumbe alikuwa hawajui wateule wa Cuba kuwa ni wabafiki, akawaacha wale watakavyo kiasi kwamba mpaka chakula cha akiba wamemaliza.
Mpaka naandika makala hii nimeambiwa Kwa sasa ameanza kutumia nguvu kutafuta chakula na wakati mwingi anatembelea Kwa majilani kuwaomba Msaada wa chakula cha watu wake.
UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA.