Ukicheza na stress utakufa

Ukicheza na stress utakufa

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).

Hasa stress ya kufulia huna hela ama stress ya kugongewa waifu ama demi stress za usaliti na kudhulumiwa.

Ukicheza na kuendekeza stress bila kuchukua njia mbadala za kuidhibit utakufa kizembeeee.

Ndo maana mimi na njia zangu mbadala za kuchallange stress.

Njia ya kwanza na muhimu na imenisaidia Sana kupambana na stress ni uvutaji wa sigara, bangi na other 'stronger substances'. Kwa kweli haya mavitu yamekuwa msaada Sana kwangu. Yani Kila nikiyatumia IQ yangu inatengamaa. You just feel like the world is revolving around you and you have that sense you are breathing flavored oxygen. Mawazo Yako yanakutuma tu kufikiria to make the world a better place for future generations.

Njia ya pili ni kuwawin members jamvin kisaikolojia. Yani unamkuta member flani mnyonge unamuapproach kidesign na k up mprovoke na kumkera. Anapokujibu kwa kukutukana Ndo furaha Yako. Yani unafurahi kichiz stress inatoweka. Wiki iliyopita nilimvaa member Ezekiel Mbaga Yani nilivyotukanwa ilikuwa mfululizo wa matusi ya hatari. Nilifurahi kichiz nakurukarika.

The stress challenger.

Prince Kunta wa kupuliza hydroxo Ncha Kali Glenn Chaliifrancisco Moisemusajiografii Magonjwa Mtambuka
 
There is no antidote or stress reliever as best as having potential friendship accessible to us when we need it the most.
 
Mimi nimewahi kuwa mtumiaji mkubwa wa bangi na pombe.najua hakuna faida yoyote zaidi ya kujiongezea stress..bangi haipunguzi stress inaleta wasiwasi na woga..pombe inaumiza afya na kuharibu mifumo ya usingizi na ya chakula...acha kujidanganya amani ya moyoni hailetwi kwa material Bali kutulia,kubadili tabia za addiction na ili kurecover haraka badili lifestyle na mpende Mwenyezimungu
 
Mimi nimewahi kuwa mtumiaji mkubwa wa bangi na pombe.najua hakuna faida yoyote zaidi ya kujiongezea stress..bangi haipunguzi stress inaleta wasiwasi na woga...
Mkuu uliyoandika haisaidii kitu. Tumeshayasikia miaka nenda rudi
 
Inakuwaje wanajamvi!

Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).

Hasa stress ya kufulia huna hela ama stress ya kugongewa waifu ama demi stress za usaliti na kudhulumiwa.

Ukicheza na kuendekeza stress bila kuchukua njia mbadala za kuidhibit utakufa kizembeeee.
😄😄😄😄 Chalii angu hii njia yako ya "kuwawin members jamvin kisaikolojia" hua inanichekesha Sana aiseee.Wajuba hua wanapaniki kishenziiiiii
 
Inakuwaje wanajamvi!

Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).

Hasa stress ya kufulia huna hela ama stress ya kugongewa waifu ama demi stress za usaliti na kudhulumiwa.

Ukicheza na kuendekeza stress bila kuchukua njia mbadala za kuidhibit utakufa kizembeeee.

Ndo maana mimi na njia zangu mbadala za kuchallange stress.

Njia ya kwanza na muhimu na imenisaidia Sana kupambana na stress ni uvutaji wa sigara, bangi na other 'stronger substances'. Kwa kweli haya mavitu yamekuwa msaada Sana kwangu. Yani Kila nikiyatumia IQ yangu inatengamaa. You just feel like the world is revolving around you and you have that sense you are breathing flavored oxygen. Mawazo Yako yanakutuma tu kufikiria to make the world a better place for future generations.

Njia ya pili ni kuwawin members jamvin kisaikolojia. Yani unamkuta member flani mnyonge unamuapproach kidesign na k up mprovoke na kumkera. Anapokujibu kwa kukutukana Ndo furaha Yako. Yani unafurahi kichiz stress inatoweka. Wiki iliyopita nilimvaa member Ezekiel Mbaga Yani nilivyotukanwa ilikuwa mfululizo wa matusi ya hatari. Nilifurahi kichiz nakurukarika.

The stress challenger.

Prince Kunta wa kupuliza hydroxo Ncha Kali Glenn Chaliifrancisco Moisemusajiografii
SASA UKUTANE NA MWANA JF NA UKAAMUA KUMKERA, HALAFU YEYE ANA-TAKE EASY..! ASIKEREKE NA KERO ZAKO..!! wallah stress zitakuongezeka..
 
Nitafute njia mbadala mara ngapi?!!!
Mkuu ata mimi juzi juzi nilitamani jufanya kama yako lakini nikapiga chini

Mimi kunakadem kalikuja nikazani kana nikubali kumbe ni kapuuzi..kanaham zake ndoo nimekaa nako kama wiki mbili nikala mgozii baada ya hapo sikukaona , , , kukaa nako chini ktk maelezo yake nikagundua dem alikua na ugwadu.
Niliumia aisee, nilikonda ghafula

Mawazo kama yako ya kufukuza stress yakajaa nikakataa morah akajalia

Mkuu tafuta mbadala sio hayo pombe, sigara sijui mbangi ..unajiua unajimaliza
 
Back
Top Bottom