Ukicheza Simba SC hakuna lisilowezekana - Pape O. Sakho athibitisha kwa vitendo

🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Copy & Paste kwa mjinga ni tatizo, atakuharibu akili na wewe.

Hata maana ya treble haijui huyo role model wako!.
 
Copy & Paste kwa mjinga ni tatizo, atakuharibu akili na wewe.

Hata maana ya treble haijui huyo role model wako!.
Maana nzuri ya Treble ipo kwenu baada ya kuchukua makombe mawili ya ndani Mpole na Sopu Cup na mkachukua kombe la Afrika Sakho cup

Kwahyo Treble yenu imekamilika yaani MSOSA TREBLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…