Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
In natural mwanamke yeyote huwa anajisikia vizuri Sana akihudumiwa na mumewe hasa kwenye mahitaji ya msingi na extra.
Unapogharamika kwenye mahitaji yake kwa kumnunulia mavazi akawa wa kuvaa na kupendeza, bila kusahau kumkatia pocket money hata kama mahitaji yote nyumbani yapo, huku ukimletea zawadi kama pad, perfume, chupi na hata apple hivyo kwake ni enjoyment tosha ya kuburudisha akili na nafsi yake.
Hata kama kipato chako ni cha chini fanya tu kulingana na uwezo wako.
Sasa ikitokea mke akaanza jeuri na kiburi hadi kusahau wajibu wake hasa kukutii, na ukawa umeongea nae kuhusu kujirekebisha na habadiliki njia nzuri sana ya kumdhibiti na kumuweka sawa ni kuacha kumpa luxury needs(mahitaji yasiyo ya lazima) ulizokuwa ukimpa hapo mwanzoni, acha kumpa na akiuliza mwambie huna hela ya kuchezea.
Acha kabisa kumnunulia aina yoyote ya zawadi, leta tu matumizi ya jumla kwa familia nzima.
Kama mlikuwa na mitoko kila weekend acha kutoka naye kwa kigezo cha ubusy na uchumi kuporomoka.
Kama hapo mwanzoni (kabla ya jeuri yake kuanza) ulikuwa faster kupokea simu yake anza kupotezea simu zake au ukirudi home mjulishe kuwa by the time ulikuwa na kikao ni. Akikutext jibu text zake kwa kuchelewa.
Muhimu tu hakikisha mahitaji ya msingi ya family nzima hayakosekani nyumbani.
Kwa mtindo huu jeuri yake lazima iishe, ataanza unyenyekevu na kujishusha kwako.
Ni vyema ukafahamu kuwa hawa viumbe huwa inahitaji sometimes wabustiwe ndiyo akili ziwakae Sawa.
Akipika chakula kibaya mchane bila chenga.
Kufikia hapo jeuri inaisha, na jeuri isipokoma basi mpandishe cheo cha bi mkubwa.
#usikatae ndoa, kataa kutawaliwa na mkeo.