Ukielewa Haya Na Kutendea Kazi Kwa Vitendo Utaingia Kwenye Ndoa Ya Ndoto Yako

Samson Ernest

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
557
Reaction score
858
🔹Soma sana vitabu mbalimbali vya kukujenga Kiroho na kimwili

🔹Soma sana biblia na kutafakari siku zote

🔹Omba sana Mungu bila kujali mazingira uliopo, tumia namna yeyote ile kusema na Mungu wako.

🔹 Sikiliza mafundisho ya neno la Mungu huko YouTube, na mitandao iliyopo.

🔹Hudhuria semina za Neno la Mungu kadri uwezavyo, lengo lako likiwa maarifa sahihi.

🔹Jipende Sana, hii haimanishi usimpende Mungu, namaanisha usijidharau na kujiona hufai.

🔹Vunja mahusiano yote ya kingono na wanaume/wanawake unaotembea nao bila utaratibu.

🔹Vaa vizuri kutokana na uwezo wako, kuvaa vizuri sio lazima uvae nguo za ghali, unaweza kuvaa nguo za mtumba ya 2,000 na ukapendeza. Ni ufahamu wako wa kuchagua na kupanga vizuri rangi zinazoendana na wewe.

🔹Usione changamoto zinazokutokea kwenye maisha yako ni laana ya mababu na mabibi inakuandama, kumbuka wewe umeokoka.

🔹Kata marafiki walioshindwa kwenye mahusiano, marafiki wenye mtazamo mbaya kuhusu na wanawake.

🔹Kuwa mtu wa ibada, kazi, chochote kinachopita kwenye mikono yako kifanye kwa ubora wa hali ya juu.

🔹Amini mume/ mke wako yupo na siku ukikutana naye utamtambua haraka kwa sababu umejaa maarifa mengi na maombi.

🔹Acha mambo mabaya yaliyopita, Yale maisha uliyoishi na kukuharibu, kama umeshaachana na hayo maisha, usiendelee kuumia na kujilaani.

🔹 Usiogope kuachana na mtu ambaye unaona hamtawezana na moyoni mwako umekosa amani naye kutokana na tabia zake chafu zisizobadilika.

🔹 Usisahau kuwa Yesu anakupenda Sana, na alikufa kwa ajili yako. Hapendi kukuona ukipotea kuoa/kuolewa na mtu asiyefaa.

Kaa katika haya utaona matokeo mazuri katika maisha yako, na utampata mwenzi wako sahihi.

Soma Neno Ukue Kiroho
Liwe Jua Iwe Mvua soma biblia
Mungu akubariki sana
Samson Ernest
 
1739806010420.jpg
 
Mkuu siku nyingine usi generalize uliposema tu nisome bibilia nikaishia hapo hapo ungesema tu kitabu cha dini. Yaani hii mada muslims haiwahusu ni kama kita kimoja nilisoma kinaitwa think like billiaonare and become billionaire kile kitabu ni kama jamaa anahubiri kanisani kila sentence Christian Christian sio kwa ubaya alamsik.
 
Uneongea vema
 
Hapa nimezungumzia Biblia Takatifu(neno la Mungu)
 
Siku hizi pamechakachuliwa sana yaani ni ngumu sana sana kupata neno la Mungu yanapatikana maneno ya watu yenye mwelekeo wa mungu
Ila siyo halisi IMEGOSHIWA KUPITA MAELEZI
 
Biblia Takatifu haijachakachuliwa, watu ndio wanalichakachua Neno, jiwekee mpango wa kusoma biblia na kutafakari wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom