Hapana ile ni hospital pharmacy, is apharmacy that operatesinsidea hospital, yani dawa ni za bure kabisa sitoi hata pesa moja :cool2:Songíto;3576368 said:mkuu hilo duka la dawa uliloenda kununua dawa ambapo na yeye alikusindikiza halikuwa lake kweli? isije bashasha zake ilikuwa ni katika mipango ya kukuvuta ukanunue dawa kwenye duka lake tu.... si unajua tena biashara??? lazima uwe mchangamfu... maana mteja ni mfalme
Aaaa mbona kila siku nachekewa, afu umri inategemea...wako watu wa umri wangu mpaa leo hawajao, wakati mimi ni baba na sitachukua time taitwa babu, na wengine ndo wanao, afu FYI vi babe vingi vinanitaka mimi ndo na vipiga X sasa usishangae kuona mimi nimeoa na naitwa baba wakati wewe mkubwa kwangu na hujaoa, na unajiona bado umri wako haujafika wakuoa:violin:Sasa kama nachekewa mara moja baada ya miongo 2, si lazima nijidai japo kidogo?
Kuna mambo magumu kuyapata jamani, hasa umri ukiienda.
Hakuna cha ajabu hapo,huyo daktari ni ana mazoea ya kuchangamkia watu tu,usije ukajipa bichwa eti umeshobokewa wala nin.Mbona mie inanitokea sana hyo na nnawapotezea tu!
Watu wengine mna mambo. . .
Mtu akikuchekea ananitaka, akikutania basi anakupenda.
Huwezi ichukulia hiyo hali kama ilivyokua?Kwamba kakuchangamkia na kukutania tu basi bila ya kuanza kutafsiri mambo vile unavyoona inakupendeza/kupa sifa zaidi?
Absolutely, I will go again and again yani wewe kama umeisha jua vile, akili yangu inawaza nini :cool2:Kama ni private hospital, she want to make sure next time you will go to same place coz huyo dada atakuwa anagood sense ya kuwasoma wanaume wanaopenda wanawake.
I am sure fazaa you will go again you can't resist that hospitality.
Absolutely, I will go again and again yani wewe kama umeisha jua vile, akili yangu inawaza nini :cool2: