Brela imekuwa mwiba kwa sasa, hawatoi huduma kama hujawapa kakitu.
Kumekuwa na hawa mawakala wanaosajiri makampuni na majina ya biashara. sasa ukiwatumia wale wanakwambia weka na 50,000 ya kupush kule ndani.
Sasa ikitokea hujawatumia hawa mawakala ukienda Brela ORS mwenyee ukatuma maombi yatasubiri sana aisee. yaani wale walioko kule ndani hawa deal na maombi ya kwenye mfumo kama huja push na njia pekee ya kupush ni lazima uwape mawakala wakufatilie jambo lako.
Hii inakera sana hasa pale unapokuwa umelipia gharama zote zinazohitajika. Bora ingekuwa unalipia baada ya kupatiwa huduma...
Habari, BRELA hufanyiwa kazi maombi yote kwa wakati, tunaomba namba ya ombi lako ambalo bado hujapokea majibu yako kwa wakati kwa ajili ya msaada zaidi.Vipi kuhusu kutoshughulikia maombi ya mfumo kwa wakati?
Hao CRB ndo hawajitambui kabsaBRELA, CRB dugu moja.
Habari, BRELA haina Wakala kwa ajili ya huduma ya usajili wa kampuni, huduma ya kusajili kampuni hutolewa moja kwa moja kwa njia ya mtandao kupitia bos.brela.go.tz, malipo ya huduma za BRELA hufanyika kupitia kumbukumbu namba ya malipo (control number) inayotolewa na mfumo wa malipo ya Serikali GEPG.Brela imekuwa mwiba kwa sasa, hawatoi huduma kama hujawapa kakitu.
Kumekuwa na hawa mawakala wanaosajiri makampuni na majina ya biashara. sasa ukiwatumia wale wanakwambia weka na 50,000 ya kupush kule ndani.
Sasa ikitokea hujawatumia hawa mawakala ukienda Brela ORS mwenyee ukatuma maombi yatasubiri sana aisee. yaani wale walioko kule ndani hawa deal na maombi ya kwenye mfumo kama huja push na njia pekee ya kupush ni lazima uwape mawakala wakufatilie jambo lako.
Hii inakera sana hasa pale unapokuwa umelipia gharama zote zinazohitajika. Bora ingekuwa unalipia baada ya kupatiwa huduma unaweza kuahirisha.
Kibaya zaidi mfumo wa Brela haukuruhusu kufanya maombi mapya kama la zamani halijamalizwa. So hata ukitaka ulifute utafute watu wakusaidie bado utakwama.
Vipi kuhusu kutoshughulikia maombi ya mfumo kwa wakati?Habari, BRELA haina Wakala kwa ajili ya huduma ya usajili wa kampuni, huduma ya kusajili kampuni hutolewa moja kwa moja kwa njia ya mtandao kupitia bos.brela.go.tz, malipo ya huduma za BRELA hufanyika kupitia kumbukumbu namba ya malipo (control number) inayotolewa na mfumo wa malipo ya Serikali GEPG.