chiziwafursa
JF-Expert Member
- May 22, 2024
- 558
- 827
Mkuu unaweza nieleza uhusiano kati ya roho ya uzinifu na tabia ya mtu binafsiHakuna kitanda chochote cha hotel au loji ambacho hakijafanyiwa uzinzi so unaweza ukaondoka na maroho ya uzinzi ukawa mzinifu kuliko kwa tabia usiyo nayo awali
Oooh!kumbeHujui JF siku hizi inalipa kupitia viewers, engagement au activity jam yako 😢!!.
Alikuwa hajui kuandika 😂Sikuhz tangu ajue kuandika imekuwa too much
Yap.. hujamfuatilia ni senior member tangu 2007 lakini hajui kuandika fuatilia post zake.Alikuwa hajui kuandika 😂
Nimeona leo ni member since 2007 kumbe 🙌🙌Yap.. hujamfuatilia ni senior member tangu 2007 lakini hajui kuandika fuatilia post zake.
Umesema kweli ndugu. Siku hizi ushirikina ni kila mahali. Biashara nyingi kuanzia kuuza vyakula, nyumba za kupanga ni mwendo wa ushirikina tu. Ni vizuri kuwa unamwomba Mungu kila wakati hakuepushe na hayo.Anapaswa kuwa na Imani ya MUUMBA wako wakitaka kukuua wanatangulia wao
Siyo guest tu hata nyumba za kupanga, hata chakula, hata nyumbani kwako cha msingi uwe na Imani na uwezo wa kuwasiliana na MUUMBA wako
Tabia ya mtu ni kiwakilishi cha nguvu ya msukumo iliyo ndani mwa mtu thus watu hawafanani tabia.Mkuu unaweza nieleza uhusiano kati ya roho ya uzinifu na tabia ya mtu binafsi
Asante mkuuTabia ya mtu ni kiwakilishi cha nguvu ya msukumo iliyo ndani mwa mtu thus watu hawafanani tabia.
Tabia ukaa kwenye damu thus hata mikosi ukupata ukilala na mtu mwenye mikosi
Acha ubaguziNOTE
KAMA UMEENDA KWA AJILI YA KUZINI NA MWANAMKE
HII HAIKUHUSU
Ila hujasema katika hali na mazingira yapi.Haijalishi uko kikazi ama unaenda kusalimia familia, ndugu ,jamaa au marafikii.Nakujuza tu ukienda Lodge guest zozote kabla ya kulala sali.
Ndugu zile Lodge zina mambo mengi sana na kabla ujalala kuna mtu alitoka hapo,na pengine mfanya usafi angekwambia akiyokutana nayoo hata chumbani usingelala.
Humohumo yanafanyika uzinzi na uchafu kama wote.
Asubuhi njema
Kusali ni muhimu sana sio wanapoenda huko Lodge tu lo
Aliendela kulala keshoyake ama alihama lohKuna broo wangu mmoja alisafiri toka dsm kwenda mwanza sasa akafikia Lodge moja ipo maeneo ya mkolani kama sio buhongwa sasa kufika pale ile logde kamkuta mlizi tu ilikua mida ya saa kumi na mbili jion na pako kimya mazingira makimya sana akakaribishwa ma mlinzi.
Kuingia ndani anakuta kuna utulivu wa hali ya juu yaani hakuna hata mgeni aliyefika..akalipia kuingia ndani chumbani nywele zikamsisimuka mpaka saa tatu usiku lodge yupo alone tu hakuna heka heka za watu..
Basi akasali akaingia kulala ile imefika saa tisa za usiku akahisi kama kuna hali imebadilika mule ndani mara anasikia uzito wa mwili kama anakandamizwa na kukabwa na ananyanyuliwa juu akawa anasali kimoyo moyo mara akatamka kwa jina la Yesu hali ile ikapotea hakulala tena mpaka kunakucha.
Kuja kumuliza mlinzi mlinzi anasema ni kweli huwa kuna mambo humo kwenye lodge mwenye lodge aliweka madude yake kama mtu mdhaifu kiimani anatolewa kafara..kuna watu walishafia humo.
Mtoa maada upo 100% sahihi.