Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump ni wale wamarekani wenye akili za kizamani zenye kudhani wao ni sawa na mbingu ndogo bado wanaamini kwamba uzungu wao ndio kila kitu hapa duniani.Siku kiongozi KUTOKA hapa Tz akaenda UAS kusaini mkataba wowote wenye Maslai kati ya Tz na Us inabidi awe makini sana maana viongozi wa USA na wapo makini sana na watanguliza utaifa mbele