Siku kiongozi KUTOKA hapa Tz akaenda UAS kusaini mkataba wowote wenye Maslai kati ya Tz na Us inabidi awe makini sana maana viongozi wa USA na wapo makini sana na watanguliza utaifa mbele
Siku kiongozi KUTOKA hapa Tz akaenda UAS kusaini mkataba wowote wenye Maslai kati ya Tz na Us inabidi awe makini sana maana viongozi wa USA na wapo makini sana na watanguliza utaifa mbele
Trump ni wale wamarekani wenye akili za kizamani zenye kudhani wao ni sawa na mbingu ndogo bado wanaamini kwamba uzungu wao ndio kila kitu hapa duniani.
Trump ni wale watu waliokuwa wakifanyiwa mitihani kwa kuwalipa wanafunzi wenye akili kuwazidi, mambo mengi sana hayajui faida na madhara yake. Anadhani kila anayemuona mbele ya macho yake ni mwizi na mtu wa hali ya chini
Kwa kifupi ni aibu ya wamarekani kwanza, ni mzigo wao wenye kuwaumiza kwanza wao kabla haujaiumiza dunia nyingineyo..