Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
wana jf,tunabishania kuchinja tu.baada ya kupewa maelezo na mzee wangu mmoja nikaenda kwenye kamusi nikakuta maana ya kibudu.1.mnyama alikufa bila kuchinjwa,mzoga,nyamafu anayeliwa.2.kufa bila kuacha mtoto. kwahiyo fanya yote ila ukifa bila mtoto !!!