Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kumekuwa na tabia za watu kujiona wanategemewa sana. Watu hawa hawafanyi maendeleo yeyote wala kujijali wao kila siku ni kutunza wenzao na kubaiki meza kwa kujaza bia, wanapaswa kujua, hata wakifa leo hao wategemezi wataishi.
Mtu anakwambai mtoto wa mama mdogo, shangazi, babu, sijui rafiki, kufa uone kama hawataishi!
Mtu anakwambai mtoto wa mama mdogo, shangazi, babu, sijui rafiki, kufa uone kama hawataishi!