LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nchi nyingi duniani zinafuata mfumo wa Elimu wa *Prussian Education System".
Tanzania pia tunafuata mfumo huo.
Hata hivyo nchi nyingi Sasa hasa zilizo endelea zimesha achana na mfumo huu.
Katika baadhi ya nchi hizo mfumo huu unatumika sambamba na mifumo / mitaala mingine mfano mtaala wa Cambridge.
Katika nchi hizo, Prussian Education System hutumika kwenye shule za Public na huwa ni bure ilihali mfumo wa Cambridge hulipiwa mamilioni.
Cha ajabu Sasa, Tanzania Kwa sababu watu wengi ni hawana uelewa wanajistress kulipia mamilioni kwenye shule za EMs ambazo zinafuata mfumo wa " Prussian Education System"
Ni umbumbumbu mkubwa sana Kwa Mtanzania masikini anae ishi Kwa kuunga unga, kujistress kulipia mamilioni kwenye shule za EMs ambazo zinatumia mfumo wa Prussian Education System.
Watu hawa wanazidiwa maarifa na wazazi wanao somesha Kayumba Kwa sababu Kayumba hawalipi hayo mamilioni na end product ni ile ile.
Shule pekee unayo paswa kulipia mamilioni ni shule inayo fuata mtaala wa Cambridge ambazo ada Yake ni kuanzia Dola elfu 16 mpaka 30 Kwa mwaka.
Google Prussian Education System. Soma vitabu vilivyo fanyiwa extensive research kuhusu Prussian Education System halafu ujione namna ambavyo huhitaji kujistress kulipa mamilioni kwenye hamna.