Ukifanikiwa kukutana na Jenerali Mstaafu Salvatory Mabeyo, utamwambia neno gani?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF.

Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa alilolikabili na kuhakikisha nchi inabaki salama kipindi cha msiba wa Magufuli.

Ukikutana nae ukaambiwa umeambienneno moja, ukizingatia na hali inayoendelea nchini, ungemwambia nini?
 
Habari ya uraiani!
 
Jina lake kamili ni Venance Salvatory Mabeyo, ok?
 
Maisha yake yaliyobaki uraiani ashirikiane na afurahie akiwa na wajukuu, ndugu,jamaa na jirani zake na zaidi awe Nuru na taa ya upendo kwa wanomzunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…