Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Hahaha kwani wanaofanya ubaya hawatapita . Kila mtu autumie muda wake vizuriMkuu pesa hupita. He's himachal adabu huduma hadi mwisho wa maisha yako.
Usijichanganye
ni kweli mafanikio yana mlolongo mrefu sana lakini hilo la kuwavimbia watu mi nalikataa maana kesho yako huijui, jifunze kuwa mnyenyekevu hata kama maisha umeyapatia kwa sababu kuna kufilisika na kuumwa hao unaowavimbia kuna siku usioijua utahitaji msaada waoMaisha mpaka mtu kufanikiwa anakuwa amepitia mambo mengi kuna stages , kuchekwa , kupuuzwa , kusemwa vibaya , kudharauliwa . ukiona mtu ana roho mbaya haijaja bure amefundishwa na walimwengu wenyewe. Wanadamu ni wakatili sana kwa mtu asiye na kitu . Ukifanikiwa kuyapata maisha vimba , Kuwavimbia walio kudharau ni ruksa kisheria . Ndioomaana hata Mungu aliwawekea kufuli waliomcheka na kumdharau Nuhu wakati anajenga safina , hakuna aliyeingia
Hii ndo point hakuna faida yoyote ya kuviba wema ni akiba na ubaya ni akibaHahaha kwani wanaofanya ubaya hawatapita . Kila mtu autumie muda wake vizuri
Unakuta hayo yote mtu aliyapitia na bado hao watu hawakumuonesha sympathy zaidi ya kumchekani kweli mafanikio yana mlolongo mrefu sana lakini hilo la kuwavimbia watu mi nalikataa maana kesho yako huijui, jifunze kuwa mnyenyekevu hata kama maisha umeyapatia kwa sababu kuna kufilisika na kuumwa hao unaowavimbia kuna siku usioijua utahitaji msaada wao
kuvimba hapana, ila wafungie vioo yaani hakikisha wakujue undani wa mafanikio yake tena yaani hakikisha wanaishia kukujua enzi ukiwa fukara bac.Maisha mpaka mtu kufanikiwa anakuwa amepitia mambo mengi kuna stages , kuchekwa , kupuuzwa , kusemwa vibaya , kudharauliwa .
Ukiona mtu ana roho mbaya haijaja bure amefundishwa na walimwengu wenyewe. Wanadamu ni wakatili sana kwa mtu asiye na kitu .
Ukifanikiwa kuyapata maisha vimba , Kuwavimbia walio kudharau ni ruksa kisheria . Ndioomaana hata Mungu aliwawekea kufuli waliomcheka na kumdharau Nuhu wakati anajenga safina , hakuna aliyeingia
Huo nao ni ushauri mzuri wa kuzingatiwakuvimba hapana, ila wafungie vioo yaani hakikisha wakujue undani wa mafanikio yake tena yaani hakikisha wanaishia kukujua enzi ukiwa fukara bac.
Ukipata furahi utakavyo ili mradi usimkosee Mungu na pia usivunje sheria za nchi. Ishi furahi maisha ni zawadi kila saa , kila dk , kila sekundeTafuta sana pesa ila usipige nazo picha
Tukae humo