Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
UKIFANIKIWA NDIO UTAJUA WATU NI VIGEU GEU, WALIOKUKIMBIA NDIO WANAKUKIMBILIA
Kama uliwahi kuachwa kwa dharau na maneno makali hata usiumize kichwa sana kujiona hufai , siku UKIFANIKIWA kiuchumi watas ahau kama walikutamkia hayo.
Kama hupigiwi simu na hata ukiwapigia hawamakiniki na wewe hata usijali kuna muda wao ndio watakuwa wanakulaumu kwanini hupokei simu zao.
Kama unaona kila mtu anakukimbia hata baadhi ya ndugu zako vivyo hivyo hata usijali ipo siku watakukimbilia na wataona unawakimbia.
WATU KI ASILI NI VIGEU GEU.
Hata unayemuona si kigeugeu jua huyo ana uwezo wa kudhibiti hisia hizo na ndivyo inavyotakiwa iwe ila ki kawaida binaadamu leo wakikumbia basi kesho watakukimbilia ukiwa na mafanikio ya kiuchumi na tena watajifanya kusahau yote waliyokutenda.
Kuwa makini sana na mtu ambaye ana uwezo mdogo wa kudhibiti ukigeugeu wake kwa sababu atakuwa anakuja kwako kulingana na mabadiliko yako kiuchumi yalivyo
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#fikia ndoto zako.