Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Kuna watu walishawhi uita ukimwi ugonjwa wa ndege, nadahani nawewe mawazo yako hayatofautiani sana na wao ila sema wao walipumbazika around seventiz,,1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo
Wanafunzi wa IFM, DIT NA CBE
kwan hawa wafanyakaz?
Wapiga picha
Wafanyakazi TBC. Wacheza mpira. Waigizaji. Wavuvi ktk visiwa vya ziwa victoria
Waendesha malori yenye maköntena
Mapasta,
wachungaji,
wainjilisti
Madokta
washauri nasaha
askari polisi na ,magereza
wabunge
Rais
TRA
Muuza nguo za Kike
MC
Fundi cherehani
Muuza genge
Bwana Ng'ombe
House Girl.
Muimba kwaya Kanisani
Fundi Decoder
Mwalimu
Wakili