GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Swali nzuri waje watuelezea ila mimi naelewa kwamba kila mojaHabari wanaJF.
Naomba kujua hivi proposal presentation inakuwaga na marks ngapi kiujumla? au marks huwa zinawekwa kwenye dissertation kwa ujumla na sio proposal peke yake, namaanisha marks zinatolewa baada ya kumaliza dissertation na sio kwamba propasal na disertaion zinakuwa na marks kila mmoja kivyake?
Aliye na uelewa anieleweshe? Hapa nazungumzia kwa waliosoma masters
Nashukuru kwa majibu mazuri sanaPresentation ya Proposal yako inaelezea kazi ambayo utaenda kuifanya wakati wa masters ama PhD yako, na inaweza gusia kipande kidogo ulicho fanya. Kama watatoa maksi basi ni kwa hiyo presentation na huwa ni walimu kama profs, associate prof ama phd lectures wa hiyo siku.
Ila dissertation ndio degree yako yenyewe na inaundwa kutokana na presentation ya Proposal uliofanya kwahiyo maksi nyingi zitakuja kutolewa pindi una present dissertation yako baada ya research yako kukamilika na hapo huwa ndio kuna pirika zote wakubwage au wakubebe na kwa vyuo vingine hasa nnje ya Tanzania dissertation ni mandatory ila bado unatakiwa uwe na publication kwenye journals zenye viwango fulani na zinazo tambulika.
Kuhitimisha: Proposal presentation inawapa wasimamizi wako tofauti na supervisor nini unafanya ila dissertation ni kazi ilio kamilika na proposal huwezi present ikiwa na full data maana ni kazi ambayo haijakamilika na maksi nyingi zipo kwenye dissertation.
Karibu sanaNashukuru kwa majibu mazuri sana
Naomba ufafanuzi. vyuo vinatofautiana vipi kwenye hii ishu?Inategemea na chuo husuka
Kwa hapa shule ya msingi kilongaria proposal inakua na marks 6820 na dissertation marks 104%Habari wanaJF.